MITIMINGI # 735 UTAFANYAJE KUONGEZA KIPATO KATIKA UCHUMI MGUMU
0
0
2 Visualizzazioni·
10 Agosto 2023
Ili kuwa bora kiuchumi yakupasa kuwa na vyanzo vya fedha angalau kuanzaia vi3 kama ni biashara angalau 3. Kama unategemea chanzo kimoja cha mapato kuna siku unaweza ukakwama na ukameza biashara yako yote.
Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC & Counseling Psychologist #BLCCC +255 713 18 39 39
Mostra di più
0 Commenti
sort Ordina per