Up next

SAYANSI YA KUSHINDA DHAMBI-SEH 3, ASILI YA MWANADAMU?

1 Views· 06 August 2023
proshabo
proshabo
5 Subscribers
5

Dhambi si kile tutendacho tu, bali ni vile hasa tulivyo. Nini nini kinapswa kuondolewa katika miili yetu ili asili ya kupenda dhambi iondolewe.

Wakati fulani tunapanga, tunanuia, tunashauku, na tunaamua kutotenda dhambi tena lakini katika utekelezaji miili yetu hufanya tofauti na tulivyopanga, kuna jambo zaidi la kujua katika asili ya mwanadamu ili tujijue ni kipi cha kushughulikia katika hatua za kuishinda dhambi.

Somo hili hutelezea shida iko wapi na nini kifanyike katika asili ya mwanadamu ili aweze kuishinda dhambi.

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next