1:30 HOUR Nyimbo za Tenzi za rohoni Music Mix (Swahili Songs)
0
0
2 Views·
10 August 2023
In
Gospel Songs
Mtafakari bwana usiku na mchana, asubuhi na jioni kupitia nyimbo hizi za mtenzi za rohoni ili upate neema yake katika siku zote za maisha yako.
Zaburi 91:1-2 Anayekaa chini ya ulinzi wa Mungu Mkuu, anayeishi chini ya kivuli cha Mungu Mwenye Nguvu, ataweza kumwambia Mwenyezi-Mungu: “Wewe ni kimbilio langu na ngome yangu; Mungu wangu, ninayekutumainia!”
Show more
0 Comments
sort Sort By