
proshabo
|Subscribers
Latest videos
Kwa Maombi, Maombezi, Ushauri wasiliana nasi kwa
Mobile: +255 764 711 544
E-mail: rgcm0717@gmail.com
Karibu usikilize Neno la Mungu kupitia:
Youtube:
/ rgcmtv
Facebook:
/ rgcministry
Instagram:
/ rgcministry
Twitter:
/ rgcm_ministry
TikTok:
/ rgcministry
Online Radio:http://rgcministry.ezyro.com/?i=1
SADAKA
M-PESA +255 (0) 764 711 544 (JINA : DANIELY MREMA)
CRDB BANK ACC.NO: 0152236827400 (JINA:DANIELY JACKSON MREMA). MUNGU AKUBARIKI SANA.
TAFUTA DAIMA UTAKATIFU - TAKE TIME TO BE HOLY - ORGAN INSTRUMENTAL - ORGANIST - ASUBUHI Z. OPIYO - CHRISTIAN - HYMN- ADVENTIST - SDA - PERSPECTIVE - MUKTADHA WA KI - SABATO - VIDEO BY - GRACIOUS MORNING STUDIO (GMS) - DAR ES SALAAM - TANZANIA. PICTURE BY - ASUBUHI Z. OPIYO IN 2009 - IRINGA - TANZANIA.
MFULULIZO WA NYIMBO ZA KRISTO, NYIMBO ZA SIFA, INJILI, IBADA, SHUKURANI, FARAJA NA MATUMAINI!
SERIES OF HYMNS FOR CHRIST, HYMNS FOR PRAISE, GOSPEL, WORSHIP, THANKS GIVING, COMFORT AND SPIRITUAL INSPIRATION!!
Click Here: https://bit.ly/3aLVBZZ
Karibu katika kipindi hiki cha kipekee ambapo Askofu Dr. Fredrick Simon anazungumzia umuhimu wa utakatifu katika maisha yetu ya kila siku. Katika mwendo huu, tutachunguza jinsi ya kuishi kwa njia inayomfurahisha Mungu na kuleta mabadiliko chanya katika jamii zetu.
🔍 Katika kipindi hiki, utapata:
- Maelezo ya kina kuhusu maana ya utakatifu.
- Njia za kuimarisha uhusiano wetu na Mungu.
- Ushuhuda wa mabadiliko yaliyotokana na maisha ya utakatifu.
- Miongozo ya kivitendo ya kuishi maisha yenye maana na lengo.
Jiunge nasi kwa mazungumzo ya kutia moyo na kuhamasisha. Usisahau ku-subscribe, kupenda, na kushiriki ili kuwafikia wengi zaidi!
🙏 Ujumbe huu unaleta mwanga na matumaini—jipatie nguvu na uanze mwendo wa utakatifu leo!
🌟 UTAKATIFU KATIKA MWENENDO | Askofu Dr. Fredrick Simon 🌟
#Utakatifu #AskofuFredrickSimon #MaishaYaKiungu #Mabadiliko #Wokovu #Kuhamasisha
Kwa Maombi, Maombezi, Ushauri wasiliana nasi kwa
Mobile: +255 764 711 544
E-mail: rgcm0717@gmail.com
Karibu usikilize Neno la Mungu kupitia:
Youtube: http://www.youtube.com/c/RGCMTV
Facebook: https://www.facebook.com/rgcministry
Instagram: https://www.instagram.com/rgcministry
Twitter:https://twitter.com/rgcm_ministry
TikTok:https://www.tiktok.com/@rgcministry
Online Radio:http://rgcministry.ezyro.com/?i=1
SADAKA
M-PESA +255 (0) 764 711 544
CRDB BANK ACC.NO: 0152236827400 (JINA:DANIELY JACKSON MREMA. MUNGU AKUBARIKI SANA.
This song was:
Written by : Pastor Epa
Live recorded at Gold Crest Hotel Mwanza - Tanzania
Music arranged and Directed by Sephone Sospeter
Audio Captured, Mixed and mastered by Chosen record - Samwel Mboya
Video capturing , Editing and Mastered by Magulu studios International
LYRICS
Uinuliwe, Yesu, wewe, mwema
Uinuliwe, Yesu, wewe, mwema
Uabudiwe, Yesu, wewe, mwema
Uabudiwe, Yesu, wewe, mwema
Utukuzwe, Yesu, wewe, mwema
Utukuzwe, Yesu, wewe, mwema
Eeh Bwana katika miungu yote,
Ni nani aliye kaama wewe,
mtukufu katika utakatifu,
Mwenye kuogopwa katika sifa,
Uliyevuma kwa upepo wako,
Bahari ikafunikiza adui,
Wakazama kama risasi,
Risasi ndani ya maji makuu,
Uinuliwe, Yesu, wewe, mwema
Uinuliwe, Yesu, wewe, mwema
Uabudiwe, Yesu, wewe, mwema
Uabudiwe, Yesu, wewe, mwema
Utukuzwe, Yesu, wewe, mwema
Utukuzwe, Yesu, wewe, mwema
Woo wo wo wo Wo wo,
Wo wo wo wo Wo Wo
#EpafroditoKechegwa #Epafrodito #Epa #UinuliweYesu #Uinuliwe #Yesu
Lengo letu ni kuleta mafundisho yenye uzima kwa makanisa ya Kikristo na nuru ya ukweli kwa wale wanaoishi gizani. Tutaufunua ulimwengu wa roho kupitia ushuhuda wa kila mtu ambaye amepata uzoefu wake. Katika kurasa hizi pia tutaangazia dhana zisizo za kawaida, kurejesha injili ya kanisa la kwanza kwa ajili ya wokovu wa wale waliopotea. Hatutetei madhehebu au sehemu maalum; tuko wazi kwa wapentekoste, wapentekoste, wa jadi, walutheri na wengineo.
UTAKATIFU NI KUTENDA HAKI
REV. DR. ELIONA KIMARO
Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga
Simu: +255 713 553 443
YouTube: Kijitonyama Lutheran church
Barua Pepe: Kijitonyamalutheran@gmail.com
1 Wakorintho 1:30
Bali kwa yeye ninyi mmepata kuwa katika Kristo Yesu, aliyefanywa kwetu hekima itokayo kwa Mungu, na haki, na utakatifu, na ukombozi;
Warumi 8:32
Yeye asiyemwachilia Mwana wake mwenyewe, bali alimtoa kwa ajili yetu sisi sote, atakosaje kutukirimia na mambo yote pamoja naye?
1 Petro 1:14
Kama watoto wa kutii msijifananishe na tamaa zenu za kwanza za ujinga wenu;
1 Petro 1:15
bali kama yeye aliyewaita alivyo mtakatifu, ninyi nanyi iweni watakatifu katika mwenendo wenu wote;
1 Petro 1:16
kwa maana imeandikwa, Mtakuwa watakatifu kwa kuwa mimi ni mtakatifu.
Yohana 15:3
Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya lile neno nililowaambia.
/@livingwaterchurchtz
Utakatifu 1 - Apostle Onesmo Ndegi - Living Water Centre Ministry Dar es Salaam.
Karibu katika ibada zetu Living Water Center Ministry kila siku za
Jumapili
Ibada ya kwanza saa 1:00-4:00 asubuhi,
Ibada ya Pili saa 4:00- 7:00 mchana
Jumatatu saa 12:00 Jioni - Saa 2:00 Usiku
Alhamis Saa 12:00 Jioni - Saa 2:00 Usiku
Mitandao ya Kijamii:
Youtube Channel https://www.youtube.com/channel/UCANh...
Facebook: https://www.facebook.com/livingwaterc
...
Instagram: https://www.instagram.com/lwcministry
...
Apostle Onesmo Ndegi Instagram Account - https://www.instagram.com/apostlendegi/
Apostle Onesmo Ndegi Facebook Page - https://www.facebook.com/onesmo.ndegi/
Apostle Lilian Ndegi Facebook page - https://www.facebook.com/Lilianndegi/
Apostle Lilian Ndegi Instagram - https://www.instagram.com/apostlelili...
Living Water Center Ministry
P o box
Dar es salaam
Tanzaniapya Ya Familia - Apostle Lilian Ndegi
#sundayservice #church #sunday #worship #jesus #praise #sundayfunday #sundayvibes #God #bible #faith #christian #ibadahonline #gereja #jesuschrist #praiseandworship #community #gospel #churchservice #onlineservice #ibada#happysunday #sundayworship #music
#prayer #jesusisking #apostlelilianndegi #apostleonesmondegi #livingwatercentreministry #kawe #daressalaam #godisgood #christianity #churchonline #sundaymornings #biblestudy #sundays #bibleverse #ibadahonline #motivation #sundaymotivation #sundaymorning #family #hope #ellowship #sundayschool #onlinechurch #churchfamily #holyspirit #sundaymood #inspiration #blessed #sundayspecia
KWA MAWASILIANO ZAIDI
0655436603 AU 0769015164
kinywa changu kitazinena sifa zako BWANA,:wote wenye mwili na walihimidi jina lake takatifu milele na milele.zaburi 145:20
Somo: UTAKATIFU ( Jinsi ya kuishi maisha matakatifu )
Andiko: 1 WAKORINTHO 1:2
Mnenaji: MCH MOSES MAGEMBE
Tarehe: 17.07.2024
KINDLY LIKE, SHARE & SUBSCRIBE FOR MORE GOSPEL MUSIC FROM US. GOD BLESS YOU.