Utakatifu sio tabia ya Mungu ni Asili yake. Je, Utakatifu ni kuacha dhambi? - PART 1
0
0
0 Views·
28 February 2025
In
Sermons
1 Wakorintho 1:30
Bali kwa yeye ninyi mmepata kuwa katika Kristo Yesu, aliyefanywa kwetu hekima itokayo kwa Mungu, na haki, na utakatifu, na ukombozi;
Warumi 8:32
Yeye asiyemwachilia Mwana wake mwenyewe, bali alimtoa kwa ajili yetu sisi sote, atakosaje kutukirimia na mambo yote pamoja naye?
1 Petro 1:14
Kama watoto wa kutii msijifananishe na tamaa zenu za kwanza za ujinga wenu;
1 Petro 1:15
bali kama yeye aliyewaita alivyo mtakatifu, ninyi nanyi iweni watakatifu katika mwenendo wenu wote;
1 Petro 1:16
kwa maana imeandikwa, Mtakuwa watakatifu kwa kuwa mimi ni mtakatifu.
Yohana 15:3
Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya lile neno nililowaambia.
/@livingwaterchurchtz
Show more
0 Comments
sort Sort By