Up next

3 Views· 02 August 2023
proshabo
proshabo
5 Subscribers
5

Ikiwa Wakristo duniani kote wanasherehekea sikukuu ya Pasaka, mwimbaji wa nyimbo za kusifu na kuabudu wa nchini Tanzania Ipyana Kibona anahimiza Wakristro kuwa na moyo wa kushukuru kwa Mungu akitoa mfano wa shuhuda zake alizopitia ikiwa ni pamoja na kukatiwa tamaa baada ya kuungua mwili mzima.

Mwandishi wa BBC Veronica Mapunda amekutana na Ipyana ambaye kitaaluma ni daktari na kuelezea safari yake, familia Pamoja na changamoto alizopitia.

#bbcswahili #tanzania #muzikiwagospel

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next