AMBWENE MWASONGWE FT BOAZ DANKEN & TAG FOREST YA KWANZA - MWANA WA AZALI (Official Music Video)
Wimbo huu wa MWANA WA AZALI ni wimbo unaomzungumzia YESU KRISTO kama mwana wa MUNGU na ukuu wa kazi zake zilizofanyika kwa utofauti na wale wengine waliotumwa na MUNGU kabla ya kuja kwake. Ni wimbo wa ibada karibu na ubarikiwe na kazi hii
Audio Producer SAMUEL MBOYA
Video Producer STEVE TOBS MEDIA
Subtitle JAGALI DAVID
Watch All Music Videos by Ambwene Mwasongwe: https://youtube.com/playlist?l....ist=PL0W60mvs2JeKQm0
Follow Ambwene Mwasongwe
Instagram: https://www.instagram.com/ambwenemwasongwe_/
Subscribe to Ambwene Mwasongwe: https://www.youtube.com/channe....l/UCX_U_EkSwSfGsdiHO
Digital Branding & Marketing By:
Black Ozen Entertainment Limited: https://www.instagram.com/blac....kozenentertainmentli
Mwana Wa Azali ft. Boaz Danken & Praise Team Tag Forest Ya Kwanza - Ambwene Mwasongwe (Lyrics)
Wakaulizana mtu huyu ni nan?
Jina lake nan?
Na ametoka wapi?
Wakashangaa vile anavyosema
Ni tofauti na viongoz wao!!!
Anamamlaka na nguvu ya asili
Je mtu huy si mwana wa yusuph??
Hawakujua ametoka mbingun
Huyu n Mungu pamoja na wanadam
Ni mwana wa mungu……..
Nimwana wa Mungu
Katoka kwa Mungu…..
Mwana wa ..
Mungu kwel kwel kwel…….
Mungu kwelii kweliiiiii
Anauwezo wotee…….
Yeye hanamwishoo
Ni mwana wa Mungu…
Ni mwana wa Mungu
Katoka kwa Mungu….
Yeye hajauwaa…
Mungu kwelii kwlii
Anauwezo wote…
Yeye hanamwisho.
Akauliza ninyi mwanisemaje??
Tofaut na watu wa nje”
Wakamjibu…ya kwamba ni kristo
Mpakwa mafuta wa mungu mwenyew
Akauliza ninyi mwanisemaje??
Tofautii na watu wa njee”
Wakamjibu…ya kwamba ni kristo
Mpakwa mafuta wa Mungu mwenyewe
Wewe apo ni mkuu kuliko Eliaaa, maana hauchomi watuu…
Unasamehe hata wale waliokukosea
Kwasabb wewe n Mungu
Upo apa…
Mkuu kuliko,kiongoz Mussa
Yule wa toratii…
Mzigo wako ni mwepesii,
Nira ako ni lainii
Unasamehe hata wenye dhambii
Upo apa….
Mkuu kuliko,Samwel nabii
Yulee wa mafuta
Mafuta yako, unapaka rohon kwa roho mtakatifu
Hupaki mwilinii
Upo apa……
Mkuu kuliko,mfalme Daudi
Aliyekufaaaa…
Ufalme wako hauzuiwi na mda na sehemu wadumu hata milele…
Ni mwana wa Mungu
Mwana wa Mungu
Ni mwana wa Mungu
Mwana wa
Ni mwana wa Mungu
Mungu kweli kweliii
Ni mwana wa Mungu
Yeye hana mwishoo
Katoka kwa Mungu
Mwana wa Mungu
Katoka kwa Mungu
Mwana wa…
Katoka kwa Mungu
Mungu kwel kweliii
Katoka kwa mungu
Yeye hana mwishoo
Ni mungu mwenyewe..
Mwana wa Mungu
Ni Munguu mwenyewe..
Mwana wa
Ni Mungu mwenyewe..
Mungu kwelii kweliii
Ni Mungu mwenyewe….
Yeye hana mwishoo
Yeye hakuumbwa mwana wa asali
Hana mwanzo wala mwisho
Anazo funguo
Yeye n njia ya kwenda mbinguni
Kama ww unataka kukutana na mbingu
Muanimi…
Fungua moyo wakoo…
Aingie anagonga atawale maisha yako
Ni bwana…
Mwenye uwezoo
Fungua fungua x2
Funguaaa…moyo wakoo
Fungua fungua x2
Fungua….moyo wako
#AmbweneMwasongwe #MwanaWaAzali