Anastacia Muema- Nyimbo Tamu (Official Video) (4K video)
0
0
1 Views·
10 August 2023
In
Gospel Songs
Anayestahili kusifiwa ni Mungu wetu. Anayestahili kuimbiwa nyimbo tamu ni Mungu wetu. Nakukaribisha uungane nami katika kumwimbia Mungu wetu wimbo huu ujulikanao kama 'NYIMBO TAMU'
Wimbo huu ni Utunzi wake Ray Ufunguo, na Umerekodiwa na kufanyiwa video katika studio za RAJO Productions.
Kinanda Kimechezwa naye Ray Ufunguo.
Liturgical Dance imefanywa nao kundi la Arusha Elite Dancers👉 https://instagram.com/arusha_e....lite.dancers?igshid=
Nawashukuru kwa dhati kabisa wote walioshiriki katika kufanikisha kazi hii. Mungu wa mbinguni awazidishie baraka zake. Amina.
#anastaciamuema #rajoproductions #nyimbotamu
Show more
0 Comments
sort Sort By