Angel Benard - Nikumbushe Wema Wako (Lyrics/Lyrics Video)
šµ Angel Benard - Nikumbushe Wema Wako (Lyrics)
š If you like our content(s), Please click the bell to stay updated
We are East Africa Melody [EA Melody]. east african based music project that focuses on latest music and promoting talents around the world
š„ Send us your track(s) via our email: eastafricamelody@gmail.com
ā” Nikumbushe wema wako nisije laumu
ā¶ļø EA Melody:
https://www.instagram.com/eamelody/
https://m.facebook.com/eastafricamelody/
https://twitter.com/eamelody_/
ā¶ļø Angel Bernard
https://www.instagram.com/angelbenardofficial/
https://www.facebook.com/AngelBenardOfficial/
https://twitter.com/AngelBenard/
š¤ Lyrics:
[Verse 1]
Nirahisi kinywa kujawa na lawama tele
Pale mambo yanapoonekana hayaendiii
Ni ajabu sana namna moyo unahangaika (kutafuta majibu)
Ajabu sana moyo unavyoonyesha mashaka
Yakwamba japokuwa
Mungu anaishi ndani yangu kuna muda nahofu
Japokua Mungu anaketi kati yetu kuna muda nahofu, Ahh
Nakumbuka wana wa Israel katika bahari ya shamu
Japo walikatiza katikati ya bahari kwa ushindi
Kwa nyimbo nyingi waliimba na kumsifu Bwana
Lakini baada ya kuvuka na kuliona jagwa yalibadilika mambo
Manung'unikoo yalisimama
Na kusahau muujiza alotenda Bwana Mwanzo aah
Eee Mungu Nisaidieee eee eenhee
[Chorus]
Nikumbushe wema wako nisije laumu
Nikumbushe ukuu wako wakati wa Magumu
Nikumbushe shuhuda zako ili nikusifu Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi
Nikumbushe wema wako nisije laumu
Nikumbushe ukuu wako wakati wa Magumu
Nikumbushe shuhuda zako ili nikusifu
Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi
[Verse 2]
Eeeh Ee Mungu nisaidiee
Nisaidieee kukumbuka baba
Yakwamba umenichora kiganjani mwako kati ya wengi walioko duniani eenh
Na mimi umenionaa oooh ooo
Nikumbushe baba yakwamba
Ni wewe umeniponya nilipoumwa
Yakwamba ni wewe mlipaji wa ada yangu shuleni
Yakwamba kama ungeniacha hatua moja
Nisingelifika nilipo ooh
Babaumenikung'uta mavumbi
Kung'uta mavumbi mimi na kuniheshimisha
[Chorus]
Nikumbushe wema wako nisije laumu
Nikumbushe ukuu wako wakati wa Magumu
Nikumbushe shuhuda zako ili nikusifu
Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi
Nikumbushe wema wako nisije laumu
Nikumbushe ukuu wako wakati wa Magumu
Nikumbushe shuhuda zako ili nikusifu
Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi
[Ontro]
Yesu nakutazama, Nakuamini Wewe
Fungua maisha yangu
Nisaidie nisilalamike mbele zako
Katika ali zote nijue upo
Umesema hutaniacha, eh Yahweh
End
___________________________________________
Tags:
#AngelBernard #NikumbusheWemaWako#Lyrics #eamelody #eastafricamelody