Angel Magoti - Una Nguvu (Live Music Video)
Zaburi 46:1
“Mungu Kwetu Sisi ni Kimbilio na Nguvu; msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso.”
Inafurahisha kiasi gani kujua kwamba Yupo ambaye ana nguvu zaidi ya mtu yoyote katika Dunia na hata Mbinguni.
Matendo yake Ni Nguvu.
Maneno Yake Ni Nguvu.
Kugusa kwake ni Nguvu.
Hakuna nguvu zaidi ya hii.
Umaarufu hauna nguvu zaidi yake, Cheo hakina Nguvu zaidi yake, Fedha na Mali hazina nguvu zaidi yake, hakipo chenye nguvu zaidi ya Yeye Mwenyewe.
Chanzo cha Nguvu ni Mungu wetu alie Mwokozi wetu.
Ukitaka nguvu utapata kwake, Wimbo huu ukupatie Nguvu zake maishani mwako. Ufahamu kua katika kukata tamaa kuna Nguvu Ya Mungu, katika kushindwa kuna Nguvu Ya Mungu, katika Magonjwa kuna Nguvu ya Mungu.
Nakuombea Nguvu Za Yesu alie Mungu wetu maishani mwako.
Written By Pr Baraka Laizer
SONG COMPOSITION By Angel Magoti
Video Director ~Syber pic
Audio Capturing/Mixing ~ Mujwauki
Sound ~ Haddypro
Lights ~ Haddypro
Backline ~ Haddypro
Stage ~ Haddypro & Hugo Domingo
Hard drives ~ Phaonies
Decor & Screen ~ Simply Special Decor
Branding ~Essau Mbwambo
Mockup ~ David Mhana
Visual Effects ~Jimmy Mafie
Makeup ~ Nancyline
BVGs makeup ~ Grace kidiga
Men Dressed ~ Wekisha Design
Women Dressed ~ Issa
MUSICAL TEAM
BVGs ~ Friday Worship Team
Elisha Korg~Musical Director / Arranger
Jonathan Shemsanga~ Ass MD strings
Victor Keys ~ Organ
Josh Kulwa ~ Pads
Prosper Fundi~Bells
Chiefbeyz1 ~Bass Guitar
Baste Mtela ~Lead Guitar
Emme Raphael ~Saxophone
Mitchell Mike Jr ~Drummer
#AngelMagoti #UnaNguvu #LiveMusicVideo.Channel Administered by Huru Digital
Instagram: https://www.instagram.com/hurudigital/