Annoint Amani Ft Bahati bukuku - YE ALISIKIA WAPI ? ( Avoir c'est mauvais Official music Video
#annointamani#bahati#bukuku#
Moyo wa Mwanadam ni fumbo kubwa sana,
Usijaribu kuamua kabra ya kujiridhisha vizur na tarifa au jambo lililo tokea ,
Hata kama unaona kabisa kuna ushahidi wawazi kuwa muhusika kafanya ,
Bas jarbu kuvuka mpka zaidi kwa kutaka kujua je? nia yake ilikuwa ni hiyo au mazingira yalimfanya akakosea ,
Ili usikurupe usiamua mbela ya weng maana penye weng pana meng,
Tulia peke ako na kama utataka mtu akushaur tafuta alie kuzidi umri na maarifa ,
Pia hakikisha huyo mtu ni mzewefu wa hilo lililo kupata ,
Hasira ni mbaya sana katika maamuzi
(Mwanadam akifurah sana anaweza kuahidi vitu vikubwa ambavyo hata hawez kutimiza ,
vilevile mtu akikasirika anaweza akaongea au kufanya vitu vigumu ambavyo badae vinaweza kumuweka pabaya)
Ivyo usiamua Bila Mungu kuhusu utakosea chunguza kwanza usje Hukumu bila kosa )
(MTUNZI NA MWIMBAJI ANNOINT AMANI)
Artist Annoint Amani ft gospel legend Bahati Bukuku
( Language Swahili & French)
Audio A.E.A Tones studio
pro by Meddy+255712621330)
Video;A.E.A quality Video,director by Meddy+255712621330)
Bookngs
email;amananoint@gmail.com
istagram;annointamani
+255767240181 = +255755099942
Dar Es salaam Tanzania)