ASKOFU MICHAEL PETER IMANI ASIMIKWA KUWA MSAIDIZI WA ASKOFU GAMANYWA
0
0
4 Views·
06 August 2023
ASKOFU MICHAEL PETER IMANI ASIMIKWA KUWA MSAIDIZI WA ASKOFU GAMANYWA
Mwangalizi wa makanisa ya BCIC kanda ya Dar es Salaam na Pwani, Askofu Michael Peter Imani (BCIC Maji Meupe, Mbagala), Sasa ni Mwangalizi Msaidizi wa Kitaifa Wapo Mission International, akisimikwa hiyo jana na Askofu Mkuu Sylvester Gamanywa makao makuu BCIC Mbezi beach, Jogoo, Dar es Salaam.
Show more
0 Comments
sort Sort By