Up next

Askofu Sylvester Gamanywa; Mdhamini wa Chama cha Biblia cha Tanzania

1 Views· 06 August 2023
proshabo
proshabo
5 Subscribers
5

Awaomba Watanzania wote na wenye mapenzi mema kuungana na Chama cha Biblia cha Tanzania, kuchangia pesa kwa ajili ya uchapaji wa Maandiko Matakatifu (BIBLIA) kwa ajili ya watoto, ili wakue katika maadili mema.

JE! UNGEPENDA KUCHANGIA BIBLIA MOJA AU ZAIDI? BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUMPATIA MTOTO, MFUNGWA NA KIJANA NENO LA MUNGU (BIBLIA).

Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la BIBLE A MONTH CLUB kwa kubonyeza link hii:-

BST01-Tsh 2,000 au zaidi kwa Mwezi
https://chat.whatsapp.com/HucZFOaP8zBI0X2y25FYy7

BST02 -Tsh 5,000 au zaidi kwa Mwezi
https://chat.whatsapp.com/CyU3dCdd8uAKfJUpCxjZ2s

BST03-Tsh 10,000 au zaidi kwa Mwezi
https://chat.whatsapp.com/EQ40F0nj2jh8mh12sUglvi

BST04-Tsh 50,000 au zaidi kwa Mwezi
https://chat.whatsapp.com/LVJrKSIWcY68TdeKA6oTCE

Unaweza kulipa moja kwa moja kupitia:
Kwa namba ya kampuni 890890;

Baada ya Kulipa, Tafadhali tupigie kwenye namba hii +255 765 530 892 na unaweza kulipa kupitia namba hii hii ya +255 765 530 892 Jina ni The Bible Society of Tanzania.

Kwa namba ya kampuni 890890 na +255 765 530 892 Jina ni The Bible Society of Tanzania.

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next