BAHATI BUKUKU:SINA BIFU NA ROSE MUHANDO, SITEMBEI NA BONNY MWAITEGE
0
0
1 Views·
28 July 2023
In
Gospel Songs
Karibu utazame mahojiano haya niliyoyafanya na Mtumishi, Mchungaji na Mwimbaji wa muziki wa Injili Bahati Bukuku, Ameongelea mambo mengi sana kushindanishwa na Rose Muhando, Bifu lake, Skendo ya kutembea na Bonny Mwaitege na mengine mengi sana
Lakini unaweza kuwasiliana na kupitia Mitandao yangu ya kijamii hii hapa chini
Facebook: @bishop_jilangila,
Twitter: @bishop_jilangila,
Instagram: @bishop_jilangila,
TikTok: @bishop_jilangila
Email: pjilangila@gmail.com,
Phone: 0756212448.
#VideoCreatedby; @jessejeezus
#subscribe #rose #rosemuhando #bahatibukuku #gospel #diamond #wasafi #harmonize #zanzibar #tanzania #kenya #bonymwaitege #tomorrow #jesus
Show more
0 Comments
sort Sort By