BARAKA YA BABA: BISHOP DR JOSEPHAT GWAJIMA: 24.05.2020
0
0
6 Views·
06 August 2023
Baraka huanzia kwa mkubwa kushuka kwa mdogo. Baraka sio kupewa vitu, baraka ni kutamkiwa maneno na hayo maneno yanafanyika kuwa baraka. Esau pamoja na kuwa na kila kitu bado alihitaji maneno ya baba yake Isaka
Show more
0 Comments
sort Sort By