Boaz Danken -Ninakushukuru (sauti ya shukrani kwa BWANA) #GodisReal
Karibu tumshukuru Mungu wetu
song lyrics
Nimekuja mbele zako ili nikushukuru
wewe ndiwe kila kitu kwangu mimi nakushukuru*4
Ninakushukuru kwa yale ulioyafanya jana
Ninakushuakuru kwa yale unayo yafanya leo
ninakushukuru kwa yale utakayo yafanya kesho
maana miaka yangu duniani imehesabiwa na wewe*2
Asante kwa mawazo mazuri kwangu
yananipa tumaini siku za mwisho
Ningeamkaje asubuhi bila wewe kunilinda
pale nilipolala usingizi huku nimekatatamaa
ukaituma hekima kwa siri moyoni mwangu
ukanikumbusha agano na uaminifu wako
ukautuma wimbo wa sifa moyoni mwangu
ili nikusifu na kukushukuru milele
Ninakushukuru kwa yale ulioyafanya jana
Ninakushuakuru kwa yale unayo yafanya leo
ninakushukuru kwa yale utakayo yafanya kesho
maana miaka yangu duniani imehesabiwa na wewe*2
Asante Bwana kwa wema na fadhili
zinazo dumu milele*4
#BoazDanken #NgommaTZ
©2020 Administered by Ngomma VAS Limited