Boaz Danken ROHO MTAKATIFU NINAKUHITAJI LYRICS BY COAX MUSIC
0
0
1 Views·
02 August 2023
In
Gospel Songs
BOAZ DANKEN ROHO MTAKATIFU NINAKUHITAJI
EWE MUNGU ROHO MTAKATIFU
ULIYEMFUFUA YESU KABURINI
NDIWE HARABUNI YANGU
NINAKUHITAJI
MTENDAJI MKUU WA NENO LA MUNGU
UNAYELIVUVIA NENO LIWE NA NGUVU
UNAYEMDHIHIRISHA YESU KATIKATI YETU
NINAKUHITAJI
KAMA ULIVYOWAJAZA WANAFUNZI
SIKU YA PENTEKOSTI
NINAOMBA NA MIMI
UNIJAZE SIKU YA LEO
Show more
0 Comments
sort Sort By