BONY MWAITEGE MWANANGU SOMA
0
0
8 Views·
28 July 2023
In
Gospel Songs
Ni jukumu lako kuishi Katika ndoto zako au kuziua kazi Ni kwako lakini USINGIZI Ni kitu kinacho chukua asilimia kubwa sana Katika kudidimiza akili pangia ratiba yako ya wiki Katika kila mwezi na usiibandike ukutani Kama picha ya kalenda ya hayati nyerere kuishia kuitazama Bali ibandike kichwani na moyoni mwako ili kuitimiliza kila siku wakubwa wanaelewa%
Show more
0 Comments
sort Sort By