Bwana U Sehemu Yangu - Tenzi za rohoni Lyrics
0
0
3 Views·
10 August 2023
In
Gospel Songs
#tenzizarohoni #bwanausehemuyangu #tenzi #lyrics #lyricscaptain #lyricsvideo
Bwana U Sehemu Yangu - Pastor Angeline
Tenzi za Rohoni No 116
Bwana u sehemu yangu,
Rafiki yangu, wewe,
Katika safari yangu,
Tatembea na wewe.
Pamoja na wewe,
Pamoja na wewe,
Katika safari yangu,
Tatembea na wewe.
Mali hapa sikutaka,
Ili niheshimiwe,
Na yanikute mashaka,
Sawasawa na wewe.
Pamoja na wewe,
Pamoja na wewe,
Heri nikute mashaka,
Sawasawa na wewe.
Niongoze safarini,
Mbele unichukue,
Mlangoni mwa mbinguni,
Niingie na wewe.
Pamoja na wewe,
Pamoja na wewe,
Mlangoni mwa mbinguni,
Niingie na wewe.
Show more
0 Comments
sort Sort By