DAKTARI AMBAYE AMEAMUA KUACHA UDAKTARI ILI AFANYE MUZIKI
0
0
2 Views·
02 August 2023
In
Gospel Songs
Kutana na Dr Ipyana ambaye ni Daktari wa binadamu ambapo ameiambia AyoTV kuwa kwa sasa anafanya udaktari kwa asilimia 20 na 80 anafanya muziki wa injili na yuko mbioni kabisa kuacha kazi hiyo ili afanye muziki wa Injili.
Show more
0 Comments
sort Sort By