DHIKI KUU-2 : NA UNYAKUO KIPI KINAANZA / Kati ya dhiki kuu na unyakuo (sehem-2)
KARIBU KATIKA CHANNEL HII.. utapata kujifunza mengi kuhusu Mungu,
Amosi-3:7 / Mithali -8:4-5
MAOMBI YANAFANYIKA KWA WALIO MBALI. Kwa majina yao.
👉 YEREMIA- 23:23
AMOSI- 3:7
7 Hakika Bwana MUNGU hatafanya neno lolote, bila kuwafunulia watumishi wake manabii siri yake.
MWISHO WA DUNIA NI MWAKA
2673. 21
👆EZEKIELI-12:27-28
27 Mwanadamu, tazama, hao wa nyumba ya Israeli husema, Maono hayo ayaonayo ni ya siku nyingi zijazo, naye anatabiri habari ya nyakati zilizo mbali sana.
28 Basi uwaambie, Bwana MUNGU asema hivi; Maneno yangu hayatakawilishwa tena hata moja, bali neno nitakalolinena litatimizwa, asema Bwana MUNGU.
UFUNUO-14 (2-3) YESU KABRA YA KUJA MARA YA TATU KUANGAMIZA DUNIA YOTE ATAMTUMA MALAIKA WAKE.kuhubili injili dunia nzima.
kama alivyomtuma yohana kabla ya kuja kwake .( Yohana-1 : 6-7)
Kama alivyo muagiza Nuhu kabla hajaangamiza ulimwengu wote.
(Mwanzo- 6 : 13 na Mwanzo- 7 : 1-4)
Kama alivyo muambia ibrahimu kabla hajaiangamiza sodoma na gomola.
(Mwanzo- 18 : 17-24)
Kama alivyo mtuma malaika kumuambia maria na yusufu kua watapata mtoto
(Luka- 1 : 30-32)
Na kuja kwake mara ya pili amenituma mimi mtumishi wake kuwapa habali ya mwisho wa ulimwengu wote.na unyakuo
(Isaya- 42 : 9)( Amosi-3:7)
NABII WA MUNGU.
- BONIFACE. VICTOR
👉ZABURI- 4 (2-4)