Eliud Mwalugelo ft Bony Mwaitege -Wambie(Official video)
0
0
2 Views·
28 July 2023
In
Gospel Songs
Bwana Yesu asifiwe Ndugu mtanzania mwana Africa mashariki ,Africa na Dunia kwa ujumla karibu kusikiliza ujumbe huu muhimu kwa wote hakuna binadamu ambaye ajabadilishwa na Mungu, kwa kushirikiana na mtumishi wa Mungu Mwimbaji na Mchungaji Bony Mwaitege tumeweza kukuandalia ujumbe huu mzuri ambao tunaamini utakwenda kubarikiwa na ujumbe huu tazama video hii mpaka mwisho
Asante kwa producer Mafeeling
Asante kwa director Rahimu
Asante kwa baba yangu Bony Mwaitege
kwa pamoja Mungu awabariki wote mliofanikisha kazi hii kufika kwa watanzania na Dunia kwa ujumla
Show more
0 Comments
sort Sort By