Erick Smith - PATAKATIFU PAKO (Official Video) Worship Song
Please like and don't forget to subscribe to this Youtube channel.
To set Patakatifu Pako as your Skiza Tune, SMS "Skiza 7246970" to 811.
BUY DIRECTLY ON ITUNES
https://itunes.apple.com/ke/ar....tist/erick-smith/id1
written by Erick Smith
Video By Marto Kijana Msafi: 0700058983
Audio by Sam Lokua/ Fusion Media
Follow Us On:
Twitter: https://twitter.com/ericksmithmusic
Instagram: https://www.instagram.com/ericksmithmusic/
Facebook: https://www.facebook.com/ericksmithmusic/
Lyrics:
Ooh bwana yesu nakuhitaji,
(Oooh Lord,I need you)
Yesu usipo nisaidia nani mwingine?, hallelujah
(Lord if you don’t help me who else will?, hallelujah)
Patakatifu pako ,hapo ndipo nahitaji
(In your holy place is where I wonna be)
Mahali pa maana , juu ya yote
(The greatest place above all)
Katika mikono yako mimi najiwekaa.
(In your hands ,I place myself)
Nizungukukwe mimi na uwepo wako
(So that I can be surrounded by your presence)
Chorus
Niaambie utakalo bwana
(Tell me what you need Lord)
Nipee nguvu yakushinda majaribu yesu
(Give me strength to overcome temptations)
Nakuhitaji bwana maishani mwangu.
(I need you Lord in my life) *2
Ninacho hitaji Yesu nikufurahisha roho yako
(All I need Jesus is to please your heart)
Wewe rafiki mwema ulie nipendaa
( You are a good friend who loves us)
Kwa ajili yako yesu sisi tumekombolewa
(because of you Jesus we are saved)
Kuwa na wewe yesu yashinda yote
(To have you Jesus exceed it all)
Oooh yesu ,neno lako lasema
(Oh Jesus,your word says)
Siku moja katika utukufu wako
(one day in your presence)
Yazidi miaka elfu duniani
(is worth a thousand days else where)
Yesu nisaidie kua katika utukufu wako siku zote maisha yangu.
(Jesus ,help me to seek your presence for rest of my life)
Bridge
Nahitaji mkono wako. (I need your hand)
Niongozwe nawewe bwana. (to be led by you Lord)
Kimbilio msaada wakaribu. (my refuge and helper)
ni weee ni weee ni wee... (is you, is you, is you)