Up next

FAFANUZI RAHISI YA KITABU CHA UFUNUO WA YOHANA - UTANGULIZI (Na Bishop Dr. Fredrick Simon)

2 Views· 06 August 2023
proshabo
proshabo
5 Subscribers
5

FAFANUZI RAHISI YA KITABU CHA UFUNUO WA YOHANA - UTANGULIZI (Na Bishop Dr. Fredrick Simon)
I. UTANGULIZI
A. Jina: Ufunuo wa Yesu Kristo. Ufu. 1:1
B. Mwandishi: Yohana Mwana wa Zebedayo.
(Amejitaja mara 4, Ufu 1:1,4,9, 22:1

C. Tunaweza kumfananisha Yohana na Musa kwa sababu:-
1. Wote walikuwa Manabii. Kum 18:18, Ufu 22:8,9
2. Musa aliandika vitabu 5 vya mwanzo wa Biblia na Yohana aliandika vitabu vitano(5) vya mwisho wa Biblia
-Walianza na neno "Hapo mwanzo"
3. Musa aliandika habari ya mianzo ya vitu vyote na Yohana aliandika miisho ya vitu vyote.
4. Musa alikufa akiwa kiongozi wa kanisa la Jangwani na Yohana alifaliki akiwa kiongozi wa kanisa la Efeso.

D. Kaisari wa Kirumi, Domitiani alimpeleka Yohana Patmo kama mwaka 95bk hivi. Kwa kuwa Yohana alikataa kumwabudu Kaisari kama Mungu.
-Patmo ipo nchini Ugiriki katika bahari ya Mediterania, Mkoa wa Kalymnos, Wilaya ya Aegean.

E. Kitabu cha Ufunuo wa Yohana kina:-
- Sura 22
- Aya 404
- Maswali 9
- Maneno yapatayo 12,000
- Ni kitabu cha 66 katika Biblia


#Bishop #Dr #FredrickSimon #ufunuowayohana #tanzania

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next