Up next

Ijue Nguvu ya Upako wa Roho mtakatifu Maishani Mwako

2 Views· 10 August 2023
proshabo
proshabo
5 Subscribers
5

Upako ni uwezo unaokusaidia kufanya au kutenda jambo fulani kwa kusudi maalumu. Upako unakuja kukutofautisha wewe na wengine . Upako wa Mungu aliye hai kwa mwamini unamsaidia atende mambo kadha wa kadha katika maisha ya kila siku na unakusaidia kutatua matatizo au kusababisha mabadiliko katika kila nyanja ya maisha. Kama umemwamini Kristo lazima uwe na upako ila tatizo kubwa la waamini awapendi kufanywa imara katika Maisha...Kuwa imara maana yake ni kupitishwa katika hali ngumu ili ambayo matokeo yake ni kukuimarisha . Mpendwa chochea upako ulionao ili ulete matokeo makubwa katika maisha yako. Ubarikiwe sana

Wako Pastor Carlos R. Kirimbai
Mawasiliano; 0786 312 131

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next