Imani Eric Shoo Ft Paul Clement - Roho Mtakatifu (Prayer Anthem)
Imani Eric Shoo Ft Paul Clement - Roho Mtakatifu (Prayer Anthem)
This is a prayer dedicated to the HOLY SPIRIT according to the book of Psalms 143:10 "Teach me to do your will, for you are my God. May your gracious Spirit lead me forward on a firm footing."
#ImaniEricShoo #RohoMtakatifu #PaulClement
Lyrics:
#VERSE: Rafiki wa karibu yangu kuliko mavazi yangu, ni wewe Roho Mtakatifu
Mito inayotiririka vilindini mwa moyo wangu, ni wewe Roho Mtakatifu
Upole wa asili yako na makali ya nguvu zako, ni dhahiri sana kwangu
Ukisema unatenda ukiahidi unafanya, Hakuna usiloweza
#CHORUS : Nifundishe, kuishi sawasawa na mapenzi yako
Nithibitishe, katika haki na utakatifu wako
Ushawishi, kuishi kwangu na matendo yangu
Nipe hatua moja zaidi ewe mpenzi wangu.
#VERSE: Uzuri wako na Uaminifu wa Moyo wako uwepo wako, uwepo wako
Ushindaye giza kwa Nuru ya asili yako, ewe Roho Mtakatifu
Umejawa uhai uweza mamlaka vyote, vimebebwa nawe
#VERSE: Ukiwa ndani yangu mashaka sina tena, ujasiri wote unawewe
Ututofautishae na watu wa duniani, Mwalimu wa Haki yote
Ni shauku yangu kuwa nawe kuliko jana, Nijaze kwa Nguvu zako.
BGV's MUNGU ANAISHI LEO TEAM
MD(Main Keys 🎹 ) - Joshua Charles
Aux keys 1 (Layering) - James Steinberg
Aux keys 2 - Baraka Aden
Bass Guitar - JP Kazire
Lead Guitar - Benjamin Kazire
Saxophone 🎷 - Simon Anta
Drums - Samuel Simon
Percussion - FureRaguel
Audio mixing - Frester's Records
Video Production - AmigoJohnson
Audio Capturing - Christian Mgana
Front of House Engineer - Christian Mgana
Backline Engineer - Lameck
WATCH AMEINULIWA
https://youtu.be/D4REhwbsN7A
WATCH MWAMBA WA KALE
https://youtu.be/IDqOQ1qPcic
FOLLOW ME ON INSTAGRAM
https://instagram.com/imanieri....cshoo?igshid=YmMyMTA