اگلا

JIFUNZE KUKAA KIMYA - PASTOR SUNBELLA KYANDO

11 مناظر· 01 ستمبر 2023
proshabo
proshabo
5 سبسکرائبرز
5

Pamoja na nguvu ya Mungu iliyokua juu ya Mariamu mpaka kuumba kitu ndani, Mariamu alijifunza kufunga mdomo.Kitu cha muhimu na cha kuzingatia, jifunze kufunga mdomo. Sio kila anayekupongeza kwa mazuri yako, anakufurahia kutoka moyoni.Mariamu hakumueleza kila mtu kuhusu kitu alichokibeba, kulikua na mtu sahihi aliyeandaliwa ku-share naye jambo lake. Elizabeth aliandaliwa kwa ajili ya Mariamu.

Ukiona unatumia nguvu kubwa kumshawishi mtu aamini kuhusu maono yako, ujue hajaandaliwa kwa ajili yako. #PastorSunbella#Jifunze#KukaaKimya

مزید دکھائیں

 0 تبصرے sort   ترتیب دیں


اگلا