Joyce Aline - Nakanyaga ft Solomon Mkubwa (officiel Video) 2021
0
0
2 Views·
03 August 2023
In
Gospel Songs
Usitishwe na kelele za aadui maana kuna wakati anaweza hata kutumia watu wakuzungukoa kukutishia
Leo hii mwambie nakukanyaga shetani maana ni amri wala sio ombi.
Leo hii unaposikiliza wimbo huu tembea kifua mbele maana una mamlaka ya kukanyaga Shetani na majeshi yake yote.
Hebu ungana nami kumkanyaga huyu adui na jeshi lake lote.
Audio:
SAV BEAT
HONEST RECORDS
WABA RECORDS
VIDEO
WABA MEDIA PRO
DAN BORGE
MOTI- ICE
VIDEO DIRECTED
MOTI-ICE
DAN BORGE
WABA PRO
EDITING
WABA PRO
Dance Choreography
Afrocongodance
Show more
0 Comments
sort Sort By