KIFO CHA MCHUNGAJI, MWALIMU PETER MITIMINGI CHAWALIZA WATU WENGI.
0
0
3 Views·
10 August 2023
"Upendo wa Kweli Unajiendesha Una Mafuta Ndani Yake, Ukiona Unatumia Nguvu Kuendesha Mapenzi Ujue Huyo Uliyenaye Hakupendi, Na Mtu Asije Akakudanganya Eti Kwamba Mimi Mchumba Wangu Ananipenda Ila Tu Yuko Busy Hakuna U Busy Kwenye Mapenzi" Marehemu Mwalimu na Mchungaji Peter Mitimingi.
Show more
0 Comments
sort Sort By