Up next

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: KWAYA YA UINJILISTI - MASHESHE KARAGWE

2 Views· 03 August 2023
proshabo
proshabo
5 Subscribers
5

Tunakukaribisha wewe mdau na mshirika wetu ambae umekuwa ukibarikiwa na huduma yetu kwa miaka mingi. Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama tunazidi kukusihi endelea kushiriki baraka hizi pamoja nasi kwa kumtolea Mungu dhabihu na sadaka itakayofanikisha huduma yake kuwa karibu pamoja na udiakonia

Tuma sadaka yako kupitia namba hizi:
CRDB BANK ACC/No: 0111013720000
TIGO: 0677071001
VODA: 0746440000
Jina: Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama

MUNGU WA SIFA ZAKO ASINYAMAZE
#safariyakaragwe #hudumayakaribu #udiakonia #karagwe #kwayayauinjilistikijitonyama #kijitonyamalutheranchurch⛪

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next