Kijitonyama Uinjilisti Choir | BADO LIPO TUMAINI | Official Video
0
0
1 Views·
03 August 2023
In
Gospel Songs
Wimbo: Bado Lipo Tumaini
Artist: Kijitonyama Uinjilisti Choir
Katika wakati huu na nyakati zingine zenye changamoto za maisha kwa wanaadamu kiasi cha kupoteza matumaini. Pale ambapo Akili zetu, Sayansi, Utaalam, Elimu na Mamlaka zinapoteza matumaini.
Neno la Mungu linasema BADO LIPO TUMAINI kwa kila aaminiye. Kwake Yesu Kuna Tumaini.
https://www.instagram.com/kiji....tonyamauinjilisticho
https://www.facebook.com/KijitonyamaUinjilisti
Show more
0 Comments
sort Sort By