Kijitonyama Uinjilisti Choir | DHAMBI NI DHAMBI | Official Video
0
0
7 Views·
03 August 2023
In
Gospel Songs
Wimbo: Dhambi ni dhambi
Album: Kijito Collection One
Dhambi ni Dhambi ni wimbo ulioimbwa na kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama na kubariki sana watu kuanzia miaka ya 2000, na sasa umerudiwa tena kwa ustadi mwaka 2019, katika studio za kisasa za Kijito Studio.
Uzinduzi wa album yenye wimbo huu, unafanyika tarehe 17 Februari 2019 Usharika wa Kijitonyama.
Karibu.
Kwa mawasiliano na taarifa zaidi, tafadhali tembelea tovuti ya kwaya
https://www.kijitochoir.com
https://www.facebook.com/KijitonyamaUinjilisti
https://www.instagram.com/kiji....tonyamauinjilisticho
Show more
0 Comments
sort Sort By