KIJITONYAMA UINJILISTI CHOIR | NDANI YA SAFINA | SIKU YA MBINGU KUJAA SIFA S01
0
0
4 Views·
03 August 2023
In
Gospel Songs
Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama katika Ibada ya SIKU YA MBINGU KUJAA SIFA Season One, wakiimba wimbo wa NDANI YA SAFINA.
Siku ya Mbingu kujaa sifa ni Ibada ya Kusifu ambayo inaandaliwa na Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama.
Wasiliana nasi kupitia namba +255 746 440000 ili uweze kujipatia nakala yako sasa kwa Sadaka ya Tsh.10,000 kwa upande wa DVD na Audio CDs ,
Na Tsh30,000 kwa upande wa Kijito Flash inayojumuisha Video pamoja na Audio
Sisi @kijitonyamauinjilistichoir tutahakikisha nakala yako inakufikia popote ulipo ndani ya Tanzania na popote Ulimwenguni ..
@kijitonyamauinjilistichoir
#SikuYaMbinguKujaaSifa
#SingLikeNeverB4
#HakunaMunguKamaWewe
Show more
0 Comments
sort Sort By