KIJITONYAMA UINJILISTI CHOIR/TOYELELOO
0
0
2 Views·
03 August 2023
In
Gospel Songs
Karibu ushiriki nasi baraka za Mungu katika wimbo huu kutoka Kwaya Ya Uinjilisti Kijito.
JINA: TOYELELO
Video ya wimbo huu, ilirekodiwa katika ibada maarufu ya sifa (MSIMU WA PILI) ijulikanayo kama:
SIKU YA MBINGU KUJAA SIFA.
Ni matumaini yetu kuwa utakwenda kubarikiwa na kumsifu Mungu kupitia wimbo huu.
Tunakusihi upatapo baraka za wimbo huu, basi shirikisha na wengine pia.
Show more
0 Comments
sort Sort By