Kijue Kizazi kipya cha kiroho Chotara - Askofu Sylvester Gamanywa
0
0
1 Views·
06 August 2023
KIJUE KIZAZI KIPYA CHA KIROHO CHOTARA
_ Askofu Sylvester Gamanywa Azungumza na waandishi wa habari kuhusu kizazi kipya cha kiroho chotara alipofanya mkutano jana na Waandishi wa Habari wa Shalom TV na Wapo Radio FM mara baada ya ibada BCIC Mbezi Beach, Dar es Salaam. #Shalomtvonline
Show more
0 Comments
sort Sort By