#KIPINDIMAALUM: MTUME NEEMA SIKATENDA NA ASKOFU GAMANYWA WAKUTANA DAR.
0
0
4 Kutazamwa·
06 Agosti 2023
katika
Mafundisho ya Biblia
Askofu na Mtume Neema Sikatenda wa Neema Ministry kutoka Dubai ametembelea Wapo Media na kufanya Mahojiano na Mwangalizi Mkuu wa Wapo Mission International Bishop Sylvester Gamanywa.
Pamela na hayo Mtume Neema Sikatenda Anafanya tamasha linaloitwa Neema Festival linalofanyika Dar es salaam.
Onyesha zaidi
0 Maoni
sort Pangilia kwa