Up next

KKKT KIJITONYAMA: KWAYA YA UINJILISTI

2 Views· 03 August 2023
proshabo
proshabo
5 Subscribers
5

KKKT KIJITONYAMA: KWAYA YA UINJILISTI
Kuelekea safari ya Karagwe tumepokea baraka tele na maombezi kwa kila mmoja wetu kutoka kwa Baba yetu @rev.dr.elionakimaro tayari kwenda kulitangaza neno la MUNGU na kufanya #udiakonia. Wanakaragwe mkae tayari kupokea baraka. Sisi @kijitonyamauinjilistichoir tunakuahidi @rev.dr.elionakimaro na wapendwa wote ya kuwa Tupo tayari kumtumikia Bwana🙏 #hatutowaangusha

Tunakusihi endelea kumtolea Mungu dhabihu na sadaka kupitia namba hizi:
CRDB BANK ACC/No: 0111013720000
TIGO: 0677071001
VODA: 0746440000
Jina: Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama

MUNGU WA SIFA ZAKO ASINYAMAZE
#safariyakaragwe #hudumayakaribu #udiakonia #karagwe #kwayayauinjilistikijitonyama #kijitonyamalutheranchurch⛪

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next