Up next

KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MTUMISHI WA MUNGU FANUEL SEDEKIA 04/01/2009. MIAKA 11 SASA.

3 Views· 02 August 2023
proshabo
proshabo
5 Subscribers
5

Ni majonzi makubwa Sana pale familia, mji, taifa na dunia kwa ujumla tulipopata taarifa ya kifo Cha ndugu yetu, mpendwa wetu na mtumishi mwenzetu Fanuel Sedekia kilichotokea nchini Israel alipokuwa ameenda kuzuru na mtumishi wa Mungu Christopher MWAKASEGE. Share hii kwa wingi kuukumbuka mchango wake katika uimbaji wa nyimbo za kusifu na kuabudu bila kusahau kusubscribe channel hii. Barikiwa

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next