Kutambua Nyakati na Majira (23-04-2017) - Askofu Sylvester Gamanywa
0
0
4 Views·
06 August 2023
Ibada ya Ujazo wa Roho Mtakatifu, kilasiku ya Jumapili hapa hapa BCIC Mbezi Beach, Dar es Salaam. Ibada hii huanza saa 4:30 Asubuhi na Bishop Sylvester Gamanywa ndiye atatoa neno na kisha kutoa huduma ya Ujazo wa Roho Mtakatifu ikiambatana na Maombezi ya Kufunguliwa na Vifungo vya Nguvu za giza.
Show more
0 Comments
sort Sort By