KWAYA YA UINJILISTI KIJITONYAMA & JOSHUA MLELWA | MUNGU ANAKUPENDA
0
0
1 Views·
03 August 2023
In
Gospel Songs
Unapoukaribisha mwaka mpya, tambua kwamba ni kwa sababu MUNGU ANAKUPENDA, sio kwamba wewe ni mwema ama unafaa sana, ni mapenzi yake Mungu Baba yetu.
Joshua Mlelwa Na Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama wakiimba wimbo wa MUNGU ANAKUPENDA. Katika ibada maarufu Siku Ya Mbingu Kujaa Sifa Season 2.
Karibu usikilize Ujumbe wa Neno la Mungu.
Show more
0 Comments
sort Sort By