KWAYA YA UINJILISTI KIJITONYAMA | EBENEZA | OFFICIAL AUDIO
0
0
4 Views·
03 August 2023
In
Gospel Songs
Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama inakuletea wimbo unakwenda kwa jina la Ebeneza. Wimbo huu ni mmoja kati ya nyimbo zilizo kwenye Albam ya HACHELEWI.
Karibu usikilize ujumbe wa neno la Mungu pamoja nasi.
Kwa maelezo zaidi tafadhali tembelea tovuti yetu kijitochoir.com
Kurasa zetu za mitandao ya kijamii pia.
Show more
0 Comments
sort Sort By