Up next

KWAYA YA UINJILISTI KIJITONYAMA | UZITO WA MSALABA (Official Music Video)

6 Views· 03 August 2023
proshabo
proshabo
5 Subscribers
5

UZITO WA MSALABA
1. Hukujua uzito wa msalaba,
Hukujua gharama ya msalaba,
Hukujua fedheha ya msalaba,
Aliyoibeba mwokozi wetu (Bwana wetu)×2

:/: Akaachwa uchi msalabani,
Akalia kwa sauti kuu,
Baba yangu mbona waniacha
Huo ndio uzito wa msalaba x2

2. Kwamba ni tani ngapi hukujua,
Kwamba ni kilo ngapi hukujua,
Jambo moja hakika ninajua,
Msalaba ulimwangusha chini (Bwana wetu) ×2

:/: Akaachwa uchi msalabani,
Akalia kwa sauti kuu,
Baba yangu mbona waniacha
Huo ndio uzito wa msalaba x2


Instagram : https://instagram.com/kijitonyamauinjilistichoir

Facebook :
https://www.facebook.com/KijitonyamaUinjilisti

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next