LAANA YA UKOO: BISHOP DR JOSEPHAT GWAJIMA: 24.01.2021
Bishop Dr. Josephat Gwajima
LAANA ZA UKOO (THE FAMILY CURSES)
✓ You cannot be a leader by depending on people’s opinion.
✓ A LEADER MUST BE SOMEBODY WHO DEPENDS ON HIS DECISION AND NEVER SHAKEN BY WHAT PEOPLE SAY.
✓ When God has plan for you he will send a prophet who will speak what God has ordained in your life.
✓ No one on earth is biological accident but a divine plan from Heaven.
✓ If you can’t love yourself, how can others love you.
✓ Time is coming when the whole world will be astonished since there will be two Kingdom at crash in human form on earth.
✓ What a big loss when God spoke to you but you never took a step.
✓ Africa has no lack of the natural resources but we lack the knowledge of transforming it into something tangible or a service.
✓ Those who dwell in the house of the Lord are KINGDOM ADDICTED.
✓ It is scientifically proven that every man has a gene known as VMAT2 that is wired to lead us into worshipping. VMAT-2: God-Gene or Holy Hoax? - Home (weebly.com).
✓ Corona is a hoax to create or welcome a new world order from the Demonic Kingdom.
✓ The Christians know about the Anti-christ but the Muslim know about Masihi Dajjal.
Kila mtu alivyo au maisha yake yalivyo yanatokana kwa asilimia kubwa na familia aliyotokea ;Kama Mungu hajaingilia kati lazima ile hatima ya familia iliyopangwa au ule msuko uliowekwa ukupate.
- Mathayo 1:1 ‘Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi, mwana wa Ibrahimu. Ibrahimu alimzaa Isaka; Isaka akamzaa Yakobo; Yakobo akamzaa Yuda na ndugu zake; Yuda akamzaa Peresi na Zera kwa Tamari; Peresi akamzaa Esromu; Esromu akamzaa Aramu;Aramu akamzaa Aminadabu; Aminadabu akamzaa Nashoni; Nashoni akamzaa Salmoni;Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu; Boazi akamzaa Obedi kwa Ruthu; Obedi akamzaa Yese;Yese akamzaa mfalme Daudi. Sulemani akamzaa Rehoboamu; Rehoboamu akamzaa Abiya; Abiya akamzaa Asa;Asa akamzaa Yehoshafati; Yehoshafati akamzaa Yoramu; Yoramu akamzaa Uzia; Uzia akamzaa Yothamu; Yothamu akamzaa Ahazi; Ahazi akamzaa Hezekia; Hezekia akamzaa Manase; Manase akamzaa Amoni; Amoni akamzaa Yosia; Yosia akamzaa Yekonia na ndugu zake, wakati wa ule uhamisho wa Babeli. Na baada ya ule uhamisho wa Babeli, Yekonia akamzaa Shealtieli; Shealtieli akamzaa Zerubabeli; Zerubabeli akamzaa Abihudi; Abihudi akamzaa Eliakimu; Eliakimu akamzaa Azori; Azori akamzaa Sadoki; Sadoki akamzaa Akimu; Akimu akamzaa Eliudi; Eliudi akamzaa Eleazari; Eleazari akamzaa Matani; Matani akamzaa Yakobo; Yakobo akamzaa Yusufu mumewe Mariamu aliyemzaa YESU aitwaye Kristo. Basi vizazi vyote tangu Ibrahimu hata Daudi ni vizazi kumi na vinne; na tangu Daudi hata ule uhamisho wa Babeli ni vizazi kumi na vinne; na tangu ule uhamisho wa Babeli hata Kristo ni vizazi kumi na vinne. Kuzaliwa kwake Yesu Kristo kulikuwa hivi.
• 2 Timotheo 3:16-17 ‘Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki;’
• Mwanzo 12:1 ‘Bwana akamwambia Abramu, Toka wewe katika nchi yako, na jamaa zako, na nyumba ya baba yako, uende mpaka nchi nitakayokuonyesha; nami nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, na kukubariki, na kulikuza jina lako; nawe uwe baraka; nami nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani; na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa.Basi Abramu akaenda, kama Bwana alivyomwamuru; Lutu akaenda pamoja naye. Naye Abramu alikuwa mtu wa miaka sabini na mitano alipotoka Harani.’
• Esta 9:1 ‘Hata ulipofika mwezi wa kumi na mbili, ndio mwezi wa Adari, siku yake ya kumi na tatu, amri ya mfalme na mbiu yake ilipowadia kutekelezwa; ambayo siku ile adui za Wayahudi walitumaini kuwatawala, bali kumebadilika kinyume, hata Wayahudi waliwatawala wale waliowachukia;’
• Daniel 2:42 ‘Na kama vidole vya zile nyayo vilikuwa nusu chuma na nusu udongo, kadhalika ufalme ule utakuwa nusu yake una nguvu, na nusu yake umevunjika.Na kama vile ulivyokiona kile chuma kimechanganyika na udongo wa matope, watajichanganya nafsi zao kwa mbegu za wanadamu; lakini hawatashikamana, kama vile chuma kisivyoshikamana na udongo