LANGO - Praise Team TAG Forest One ft Ambwene Mwasongwe & Boaz Danken
0
0
3 Views·
02 August 2023
In
Gospel Songs
#PraiseTeamTAGForestOne #NgommaTz #likolango #ambwenemwasongwe #forestyakwanza #boazdanken
LIKO LANGO ni wimbo ulio katika Tenzi za Rohoni ambao Praise Team TAG Forest ya kwanza wameimba pamoja na watumishi wa Mungu Ambwene Mwasongwe pamoja na Boaz Danken.
Yohana 14:6 "Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima...." Yesu ndiye lango la mbinguni, hata sasa bado liko wazi kwa ajili yako.
Usiache ku-subscribe na ku-share na wengine wabarikiwe pia.
Video: Vector Film
Audio: A King records (Marcq)
Music arrangement: Benjamin Makolobela - BenMacko
©2019 Administered by Ngomma VAS Limited.
Show more
0 Comments
sort Sort By