Liko Lango Moja wazi - Mch. Abiud Misholi (Official Music).
Watch,hear the Message and Share "LIKO LANGO MOJA WAZI" (Gospel Song).
121.LIKO LANGO MOJA WAZI.
Liko lango moja wazi,
Ni lango la mbinguni;
Na wote waingiao
Watapata nafasi.
Lango ndiye Yesu Bwana
Wote waingie kwake,
Lango! Lango
La Mbinguni ni wazi.
Yesu ndiye lango hili,
Hata sasa ni wazi,
Kwa wakubwa na wadogo,
Tajiri na maskini.
Hili ni lango la raha,
Ni lango la rehema;
Kila mtu apitaye
Hana majonzi tena.
Tukipita lango hili
Tutatua mizigo,
Tuliochukua kwanza,
Tutavikwa uzima.
Hima ndugu tuingie
Lango halijafungwa,
Likifungwa mara moja
Halitafunguliwa.
#AbiudMisholi#LikoLangoMojaWazi#
SIKILIZA NYIMBO ZA MCH. ABIUD MISHOLI KUPITIA LINK HIZI.....
Boomplay - https://www.boomplaymusic.com/share/artist/48427594?srModel=COPYLINK&srList=ANDROID
Spotify - https://open.spotify.com/album/4tFQPNEXKYUCLqOd8pZleL?si=HB2WdwFSSTKMRcclMfkNew&utm_source=copy-link
Hungama -
http://www.hungama.com/album/uje-unitoe/89061074
KWA MSAADA WA MAOMBI NA USHAURI WASILIANA KWA ....
Simu - +255754045328
Email - abiudmishori500@gmail.com