LIVE KONGAMANO LA UAMSHO NA MAOMBI YA FAMILIA MBEYA-MCH ABIUD MISHOLI siku ya tano
0
0
6 Views·
02 August 2023
In
Gospel Songs
Ni saa ya matengenezo na kusafishwa kwa kanisa, Ni saa ya nguvu za Mungu na matengenezo matendo makuu ya Mungu kuonekana ndani ya kanisa, Ni saa ya kukomeshwa kwa vitendo vibaya ndani ya familia zetu...Ushoga,ulawiti,usagaji,ubakaji,ulevi na magomvi na vifungo mbali mbali
Ni saa ya kurejeshwa kwa ibada za Roho na kweli.
Show more
0 Comments
sort Sort By