Madhihirisho ya nguvu za Roho Mtakatifu - Askofu Sylvester Gamanywa
0
0
4 Views·
06 August 2023
1Wakorinto 2:4 Kuhubiri kwangu na ujumbe wangu haukuwa na hekima na maneno ya kuwashawishi watu, bali kwa madhihirisho ya nguvu za Roho Mtakatifu 5ili imani yenu isiwe imejengwa katika hekima ya wanadamu bali katika nguvu za Mungu.
Show more
0 Comments
sort Sort By