Mahali ni Pazuri - Mch. Abiud Misholi (Official Music).
Hear the Message and Share "Mahali ni Pazuri" (Gospel Song).
#AbiudMisholi#NaendeaMsalaba#
MAHALI NI PAZURI
1. Mahali ni pazuri, ndugu wanapokaa,
wakipatana vema, na wakipendana.
2. Kama umande mzuri, unyweshavyo shamba,
vivyo na Mungu wetu, hubariki ndugu.
3. Upendano hujenga, boma zuri kwao,
wakae na amani, waliookakoka.
4. Na ulimwengu wote, watiwa nuruni,
halafu kundi moja, na mchunga mmoja tu.
KWA MSAADA WA MAOMBI NA USHAURI TUMIA WASILIANA KWA ....
Simu - +255754045328
Email - abiudmishori500@gmail.com
SIKILIZA NYIMBO ZA MCH. ABIUD MISHOLI KUPITIA LINK HIZI.....
Boomplay - https://www.boomplaymusic.com/share/artist/48427594?srModel=COPYLINK&srList=ANDROID
Spotify - https://open.spotify.com/album/4tFQPNEXKYUCLqOd8pZleL?si=HB2WdwFSSTKMRcclMfkNew&utm_source=copy-link
Hungama -
http://www.hungama.com/album/uje-unitoe/89061074