Up next

Mahubiri ya Masanja Mkandamizaji Sept 18 2016 Washington DC

3 Views· 19 August 2023
proshabo
proshabo
5 Subscribers
5

Mtumishi wa Mungu Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja Mkandamizaji, ambaye pia ni Mchungaji Msaidizi katika kanisa la EAGT Mito ya Baraka jijini Dar Es Salaam, Septemba 18, 2016 alihudumu katika kanisa la The Way Of The Cross Gospel Ministries lililopo
405 Riggs Rd NE
Washington, DC, 20011

Hii itakuwa ni mara ya pili kwa mtumishi huyo kuhubiri katika kanisa hilo. Mara ya kwanza ilikuwa ni Jumapili 07/07/2013 katika huduma yake ya kwanza kabisa nchini Marekani, .

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next