Maombi ya Ujazo wa Roho Mtakatifu by Innocent Morris
0
0
2 Views·
10 August 2023
Haya ni maombi ya ujazo wa Roho Mtakatifu tuliofanya siku ya mkesha wa tarehe 4/10/2019. Ni maombi yenye nguvu sana kwa imani utapokea katika jina la Yesu Kristo wa Nazareth. Amina.
"Lakini mtapokea nguvu, akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu; nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, na katika Uyahudi wote, na Samaria, na hata mwisho wa nchi."
Matendo ya Mitume 1:8
Instagram Page: holyspiritconnect
Facebook Page: Holy Spirit Connect
Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect/
Facebook Link: https://m.facebook.com/holyspiritconnect/
Show more
0 Comments
sort Sort By